Preview Image
Kuhusu Sisi

Jusco Health Care

Ni kampuni inayojishughulisha na afya ya binadamu kwa ujumla ambayo imejikita kutumia bidhaa za tiba lishe kutoka kampuni ya BF Suma kutatua changamoto mbalimbali za kiafya.
Fact #1

Vision (Dira Yetu)

Kuwa kinara katika utoaji wa suluhisho la kiafya kwa kutumia tiba lishe za BF Suma, tukiongoza mabadiliko chanya kwa jamii yenye afya bora na maisha marefu.

Fact #2

Mission (Dhamira Yetu)

Kutoa elimu sahihi kuhusu magonjwa yasiyoambukiza na kusambaza bidhaa bora za tiba lishe ili kuboresha afya za watu kwa njia salama, asilia, na endelevu.

Kwanini Jusco & BF SUMA

Kwa Nini Uchague Bidhaa Kutoka Kwetu?

  • Zinatokana na mimea ya asili – salama na haziwezi kuleta madhara mwilini.
  • Zimesaidia maelfu ya watu kurejesha afya zao bila dawa kali.
  • Matokeo ndani ya siku 30 - 90 kulingana na mwili wako.
  • Hutatua magonjwa sugu bila kujali muda wa tatizo.
Bidha Zetu
Afya Yako, Kipaumbele Chetu!

Tumia Fursa Hii Kupata Afya Bora!

Inatambua kuwa magonjwa yasiyoambukiza yamekuwa changamoto kubwa katika jamii hivyo kampuni inajikita katika kutoa elimu juu ya magonjwa hayo na kutafuta suluhisho juu ya magonjwa hayo na namna nzuri ya kuyatibu kutumia bidhaa za BF Suma, JUSCO health care inabaki tu kuwa msambazaji na kutoa ushauri wa magonjwa yasiyoambukiza.