Showing all 12 results

AnaticTM Herbal Essence Soap
Quick View

Sabuni hii ya asili imetengenezwa kwa viambato vya 100% asilia: Asali, Green Tea, na Mbegu za Zabibu. Imetengenezwa mahsusi kwa ajili ya afya ya ngozi na kurejesha muonekano wa ujana.

– Hupambana na uzee na kuondoa mikunjo kwenye ngozi

– Hufanya ngozi kuwa na unyevu na kuonekana nadhifu

– Huondoa mapunye, chunusi, na mafuta mengi usoni

– Inafaa kwa ngozi ya aina zote

– Haina kemikali hatarishi

ArthroXtraTM Tablets
Quick View

Ni bidhaa maalum kwa afya ya maungio na mifupa. Husaidia kuongeza uteute wa asili kwenye maungio, kupunguza maumivu, na kuzuia uharibifu wa gegedu. Ni chaguo bora kwa wenye maumivu ya nyonga, magoti, mgongo, au maungio mengine.

Faida Muhimu:

  • Huongeza uteute kwenye maungio ya mifupa
  • Huondoa maumivu ya maungio kama nyonga, magoti, na mgongo
  • Huzuia kusagana kwa maungio na huchochea uzalishaji wa gegedu mpya
  • Huzuia kulika kwa mifupa na maungio
  • Huongeza kiwango cha Glucosamine na Chondroitin kwenye maungio
Dr.Ts Toothpaste
Quick View

ni dawa ya meno ya kisasa yenye viambato asilia kama green tea, blue cleaning factor, na herbal factor. Imetengenezwa mahususi kwa ajili ya afya ya kinywa na meno, huku ikitibu na kutoa harufu nzuri ya mdomoni.

Faida Muhimu:

  • Huzuia fizi kuvimba
  • Green tea huondoa harufu mbaya na huleta harufu nzuri mdomoni
  • Ina Blue Cleaning Factor inayosafisha meno kwa ufanisi mkubwa
  • Ina Herbal Factor ambayo hutibu matatizo ya meno
  • Huondoa “sensitivity” ya meno kwa wanaoumia wakiuma vitu vigumu au vyenye sauti kali
  • Hutoa ulinzi wa muda mrefu kwa afya ya kinywa
Feminergy Capsules
Quick View

Ni bidhaa maalum kwa ajili ya urembo wa ngozi, hasa kwa wanawake. Inasaidia kuondoa makunyanzi, alama za chunusi, na huchangamsha seli ili ngozi iwe laini, yenye unyevu na muonekano wa ujana.

Faida Muhimu:

  • Huondoa makunyanzi na alama nyeusi zinazoachwa na chunusi
  • Hufanya ngozi ing’ae na kuwa laini kama ya kijana
  • Huongeza unyevenyevu kwenye ngozi
  • Hupunguza kasi ya kuzeeka kwa seli za mwili
  • Hupunguza athari na hatari za kupata kansa ya ngozi au mwili
GymEffect
Quick View


✅Hii KAZI yake kubwa ni kuzuia sukari glucose) kuingia mwilini na kurekebisha maradhi ya moyo
✅Inajenga kongosho
✅Inasaidia uzalishaji wa insulin na kuweka sawa kiwango cha sukari KUTOKA kwenye kongosho kuingia kwenye mwili
✅Inasaidia kuboresha macho (eyes) na mdomo
✅inasaidia kuboresha ngozi ( healthy skin )na nywele

Micro2TM Cycle Tablets
Quick View


✅Husaidia kusafirisha oksijeni na virutubisho mwilini
✅Husaidia kuondoa sumu mwilini (Antioxidant)
✅Husaidia KUONDOA cholesterol kwenye mishipa
✅Husaidia Kuimarisha mishipa ya damu iliyosinyaa na kukauka
✅Husaidia kuweka mapigo ya kouo vizuri na kuruhisu mtiririko Mzuri wa damu
✅Inaondoa maumivu Kwa wenye ganzi na allergies
✅inasaidia Kwa wenye matatizo ya mapafu (COPD na asthma)

NMN-Duo Release
Quick View

Ni bidhaa ya kipekee inayosaidia mwili kupambana na sukari iliyozidi, huku ikiboresha muonekano wa ngozi na afya ya seli. Inalenga afya ya ndani na ngozi kwa wakati mmoja – chaguo bora kwa wale wanaotaka “kuonekana na kuhisi vizuri.”

Faida Muhimu:

  • Hukinga na kuzuia kiwango cha sukari mwilini
  • Huvunja na kuondoa sukari iliyozidi mwilini
  • Huondoa nyama uzembe na huimarisha umbo la mwili
  • Hupambana na uzee kwa kurejesha seli
  • Hutengeneza DNA zilizoharibika na kuzifanya mpya
  • Huondoa makunyanzi na kuboresha muonekano wa ngozi
  • Hutoa mwonekano wa afya na mvuto wa asili
ProstatRelax Capsules
Quick View


Bidhaa hii imetengenezwa kusaidia afya ya wanaume kwa kulenga hasa matatizo yanayohusiana na tezi dume na mfumo wa mkojo. Ni suluhisho la asili lisilo la upasuaji.

Faida Muhimu:

  • Hutibu tezi dume bila kufanyiwa upasuaji
  • Huzuia kuvimba kwa tezi dume
  • Huzuia na kukinga matatizo ya mkojo kwa mwanaume
  • Husaidia kuongeza uzalishwaji wa majimaji yanayolinda mbegu za kiume
  • Huboresha na kulinda figo dhidi ya madhara
Pure Broken Ganoderma Spores Oil Capsules
Quick View


✅Insaidia kuimarisha Kinga za mwili ( immune system)
✅Inazuia uzalishwaji wa Antigen kwenye ubongo na kuzuia tezi dume kukua
✅Inazuia ukuaji wa cell za cancer mbalimbali (prostate, cervical etc)

Refined Yunzhi Essence
Quick View

Ni bidhaa ya afya yenye viambato vinavyosaidia kuongeza kinga ya mwili, kuimarisha afya ya wanawake, na kusaidia wale wanaopitia matibabu ya saratani. Ni msaada bora wa kiafya kwa mwili kukabiliana na vimelea hatarishi na kurekebisha homoni.

Faida Muhimu:

  • Huongeza kinga ya mwili dhidi ya maradhi
  • Husaidia wanawake wenye uvimbe kwenye kizazi
  • Hufaa kwa wagonjwa wa kansa wanaotumia tiba ya mionzi na dawa za saratani
  • Hujenga mwili kujilinda dhidi ya vimelea vya saratani
  • Hutatua tatizo la hormonal imbalance kwa wanawake
X Power Man Capsules
Quick View

Ni suluhisho la asili kwa wanaume wanaotaka kuboresha afya ya uzazi, kuongeza nguvu za kiume, na kurudisha uimara wa mwili wakati wa tendo la ndoa. Inalenga kuongeza hamu ya tendo, nguvu, na ubora wa mbegu za kiume.

Faida Muhimu:

  • Huboresha mfumo wa uzazi kwa mwanaume
  • Huongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa
  • Hufungua mishipa midogo midogo ya uume ili kuongeza stamina
  • Huongeza uzalishaji wa shahawa zenye ubora
  • Huongeza mbegu za kiume na muda wa kuishi kwao
  • Huondoa uchovu na maumivu ya mgongo
  • Humsaidia mwanaume kuwa katika ubora wa hali ya juu wakati wa tendo
ZaminoCal™ Plus Capsules
Quick View


✅Husaidia KUTIBU na kuondoa changamoto za kuchakaa mifupa
✅kujenga mifupa imara iliyoathirika na Umri,magonjwa ,nk
✅Inasaidia Kuimarisha mfumo wa UZAZI wanawake na wanaume na kuzuia maambukizi
✅Inasaidia kuimarisha mishipa ya damu ikiyosinyaa
✅Inaondoa tatizo la maumivu ya mifupa na joint na pingili za mgongo
✅Inasaidia ufyonzwaji wa virutubishonna vitamin mwilini
✅inasaidia KUONDOA matatizo ya vidonda vya tumbo,na Bawasiri
✅Inasaidia kuleta hamu ya chakula na harufu ya chakula
✅Inaimarisha kizazi Kwa wenye tatizo la mimba kutoka
✅Inaongeza uwingi na ubora wa sperms na ovam