Ni bidhaa maalum kwa ajili ya urembo wa ngozi, hasa kwa wanawake. Inasaidia kuondoa makunyanzi, alama za chunusi, na huchangamsha seli ili ngozi iwe laini, yenye unyevu na muonekano wa ujana.
Faida Muhimu:
Huondoa makunyanzi na alama nyeusi zinazoachwa na chunusi
Hufanya ngozi ing’ae na kuwa laini kama ya kijana
Huongeza unyevenyevu kwenye ngozi
Hupunguza kasi ya kuzeeka kwa seli za mwili
Hupunguza athari na hatari za kupata kansa ya ngozi au mwili