Showing the single result

Dr.Ts Toothpaste
Quick View

ni dawa ya meno ya kisasa yenye viambato asilia kama green tea, blue cleaning factor, na herbal factor. Imetengenezwa mahususi kwa ajili ya afya ya kinywa na meno, huku ikitibu na kutoa harufu nzuri ya mdomoni.

Faida Muhimu:

  • Huzuia fizi kuvimba
  • Green tea huondoa harufu mbaya na huleta harufu nzuri mdomoni
  • Ina Blue Cleaning Factor inayosafisha meno kwa ufanisi mkubwa
  • Ina Herbal Factor ambayo hutibu matatizo ya meno
  • Huondoa “sensitivity” ya meno kwa wanaoumia wakiuma vitu vigumu au vyenye sauti kali
  • Hutoa ulinzi wa muda mrefu kwa afya ya kinywa