Ni bidhaa maalum kwa afya ya maungio na mifupa. Husaidia kuongeza uteute wa asili kwenye maungio, kupunguza maumivu, na kuzuia uharibifu wa gegedu. Ni chaguo bora kwa wenye maumivu ya nyonga, magoti, mgongo, au maungio mengine.
Faida Muhimu:
Huongeza uteute kwenye maungio ya mifupa
Huondoa maumivu ya maungio kama nyonga, magoti, na mgongo
Huzuia kusagana kwa maungio na huchochea uzalishaji wa gegedu mpya
Huzuia kulika kwa mifupa na maungio
Huongeza kiwango cha Glucosamine na Chondroitin kwenye maungio