
Sabuni hii ya asili imetengenezwa kwa viambato vya 100% asilia: Asali, Green Tea, na Mbegu za Zabibu. Imetengenezwa mahsusi kwa ajili ya afya ya ngozi na kurejesha muonekano wa ujana.
– Hupambana na uzee na kuondoa mikunjo kwenye ngozi
– Hufanya ngozi kuwa na unyevu na kuonekana nadhifu
– Huondoa mapunye, chunusi, na mafuta mengi usoni
– Inafaa kwa ngozi ya aina zote
– Haina kemikali hatarishi