img
img

NMN-Duo Release

( 0 out of 5 )

Ni bidhaa ya kipekee inayosaidia mwili kupambana na sukari iliyozidi, huku ikiboresha muonekano wa ngozi na afya ya seli. Inalenga afya ya ndani na ngozi kwa wakati mmoja – chaguo bora kwa wale wanaotaka “kuonekana na kuhisi vizuri.”

Faida Muhimu:

  • Hukinga na kuzuia kiwango cha sukari mwilini
  • Huvunja na kuondoa sukari iliyozidi mwilini
  • Huondoa nyama uzembe na huimarisha umbo la mwili
  • Hupambana na uzee kwa kurejesha seli
  • Hutengeneza DNA zilizoharibika na kuzifanya mpya
  • Huondoa makunyanzi na kuboresha muonekano wa ngozi
  • Hutoa mwonekano wa afya na mvuto wa asili
Category: