Ni bidhaa ya afya yenye viambato vinavyosaidia kuongeza kinga ya mwili, kuimarisha afya ya wanawake, na kusaidia wale wanaopitia matibabu ya saratani. Ni msaada bora wa kiafya kwa mwili kukabiliana na vimelea hatarishi na kurekebisha homoni.
Faida Muhimu:
- Huongeza kinga ya mwili dhidi ya maradhi
- Husaidia wanawake wenye uvimbe kwenye kizazi
- Hufaa kwa wagonjwa wa kansa wanaotumia tiba ya mionzi na dawa za saratani
- Hujenga mwili kujilinda dhidi ya vimelea vya saratani
- Hutatua tatizo la hormonal imbalance kwa wanawake