Ni suluhisho la asili kwa wanaume wanaotaka kuboresha afya ya uzazi, kuongeza nguvu za kiume, na kurudisha uimara wa mwili wakati wa tendo la ndoa. Inalenga kuongeza hamu ya tendo, nguvu, na ubora wa mbegu za kiume.
Faida Muhimu:
- Huboresha mfumo wa uzazi kwa mwanaume
- Huongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa
- Hufungua mishipa midogo midogo ya uume ili kuongeza stamina
- Huongeza uzalishaji wa shahawa zenye ubora
- Huongeza mbegu za kiume na muda wa kuishi kwao
- Huondoa uchovu na maumivu ya mgongo
- Humsaidia mwanaume kuwa katika ubora wa hali ya juu wakati wa tendo