Ni bidhaa ya kipekee inayosaidia mwili kupambana na sukari iliyozidi, huku ikiboresha muonekano wa ngozi na afya ya seli. Inalenga afya ya ndani na ngozi kwa wakati mmoja – chaguo bora kwa wale wanaotaka “kuonekana na kuhisi vizuri.”
Faida Muhimu:
- Hukinga na kuzuia kiwango cha sukari mwilini
- Huvunja na kuondoa sukari iliyozidi mwilini
- Huondoa nyama uzembe na huimarisha umbo la mwili
- Hupambana na uzee kwa kurejesha seli
- Hutengeneza DNA zilizoharibika na kuzifanya mpya
- Huondoa makunyanzi na kuboresha muonekano wa ngozi
- Hutoa mwonekano wa afya na mvuto wa asili