MASUNDO SUNDO SEHEMU ZA SIRI
(GENITAL WARTS)
Masundo sundo (GENITAL WARTS) sehemu za siri ni tatizo sugu kwa wengi.
Wanawake wame kuwa WAHANGA WAKUU kwa sababu ya Maumbile Yao.
Husababishwa na human papillomavirus (HPV)
Ngono zembe, Wapenzi wengi, ni moja ya vyanzo.
Usipotibu mapema hupelekea kupata Saratani (mlango wa kizazi, uume, koo na Mdomo, vulva nk.