Kisukari ni tatizo linalosababisha sukari kuwa juu kwenye damu, na madhara yake ni makubwa ikiwa halitadhibitiwa mapema. Dalili kama kiu kikali, kukojoa mara kwa mara, uchovu, maumivu ya mishipa, na vidonda visivyopona zinaweza kuathiri maisha yako kwa kiwango kikubwa.