Bidhaa hii imetengenezwa kusaidia afya ya wanaume kwa kulenga hasa matatizo yanayohusiana na tezi dume na mfumo wa mkojo. Ni suluhisho la asili lisilo la upasuaji.
Faida Muhimu:
Hutibu tezi dume bila kufanyiwa upasuaji
Huzuia kuvimba kwa tezi dume
Huzuia na kukinga matatizo ya mkojo kwa mwanaume
Husaidia kuongeza uzalishwaji wa majimaji yanayolinda mbegu za kiume