img

Feminergy Capsules

( 0 out of 5 )

Ni bidhaa maalum kwa ajili ya urembo wa ngozi, hasa kwa wanawake. Inasaidia kuondoa makunyanzi, alama za chunusi, na huchangamsha seli ili ngozi iwe laini, yenye unyevu na muonekano wa ujana.

Faida Muhimu:

  • Huondoa makunyanzi na alama nyeusi zinazoachwa na chunusi
  • Hufanya ngozi ing’ae na kuwa laini kama ya kijana
  • Huongeza unyevenyevu kwenye ngozi
  • Hupunguza kasi ya kuzeeka kwa seli za mwili
  • Hupunguza athari na hatari za kupata kansa ya ngozi au mwili
Category: